Zoomer Online Tv
Zoomer Online Tv
  • 593
  • 4 120 544

Відео

🔴Kumbe Ishu ya Chama na simba imekaa hivi.Magori,Mo na Ahmed wafunguka.
Переглядів 2,4 тис.21 день тому
#burudani #simba #michezo #football #sports #simbasc
🔴 Utata mpya waibuka usajili wa Lawi Msimbazi,Coast Union waijia juu Simba.
Переглядів 861Місяць тому
#burudani #simba #michezo #football #simbasc #sports
🔴Breaking News:Valentin Nouma akaribishwa Simba,Tazama ufundi wake,beki anayeongoza kufumania Nyavu
Переглядів 12 тис.Місяць тому
#burudani #simba #michezo #football #simbasc #sports #usajilisimba2024/2025
🔴Breaking:Mo Dewji atangaza kushika nafasi ya Try again baada ya kujiuzulu,aanika mipango mizito
Переглядів 314Місяць тому
#modewji #burudani #simba #michezo #simbasc
🔴Dewji:Kinachoendelea ndani ya Simba,Wachezaji hawataki kuja kucheza Simba,tunaweza kushtakiwa Fifa
Переглядів 1,4 тис.Місяць тому
#burudani #simba #michezo #dewji #simbasc
🔴Breaking News:Siri ya bilioni 20 za Mo Yaanikwa,ishu ya kujiuzulu Mangungu na Try again ipo hivi.
Переглядів 1,7 тис.Місяць тому
#burudani #simba #michezo #football #sports #simbasc
🔴Simba yampa mkono wa kwaheri Kapombe,Singida wamdaka juu kwa juu,Lawi miwili Simba kuziba pengo.
Переглядів 1,8 тис.Місяць тому
#burudani #simba #michezo #kochawasimba #sports #usajilimpyawasimba #usajilimpya2024/2025
🔴Rayon na Berkane yawanyakua Saido na Henock,Simba yapata urahisi yashusha vyuma hivi ni balaa zito.
Переглядів 2,4 тис.Місяць тому
#burudani #simba #michezo #simbasc #usajilisimba2024na2025
🔴Chuma kimewasili mapema ili kusajili,file lake limebeba wa kusajiliwa Simba,Ki akiwemo(Kocha Steve)
Переглядів 2 тис.Місяць тому
#burudani #simba #michezo #kochawasimba #sports #simbasc #usajilisimba2024/2025
🔴Baada ya Hinonga kuwabipu Simba waamua kumpigia,Mbadala wake washushwa,alipita Ac Vita na Berkane.
Переглядів 4,6 тис.Місяць тому
#burudani #michezo #simba #kochawasimba #simbasc #hinonga #usajilimpyawasimba #usajilisimba2024/2025
🔴Sakata la Chama kutaka mshahara wa milioni 50 lamuibua nyota huyu mpya msimbazi kuziba pengo.
Переглядів 8 тис.Місяць тому
#burudani #michezo #simba #kochawasimba #simbasc #chama
🔴Baada ya kimya kizito,Mabosi waja na maamuzi mazito,kuachana na hawa na mabadiliko ya bodi nzima.
Переглядів 3,3 тис.Місяць тому
#burudani #michezo #simba #kochawasimba #modewji #simbasc
🔴Baada ya Simba kushinda 4-1Hatma ya Mgunda Yaanikwa na Wachezaji 9 wanaoachwa Ahmed athibitisha.
Переглядів 5 тис.Місяць тому
🔴Baada ya Simba kushinda 4-1Hatma ya Mgunda Yaanikwa na Wachezaji 9 wanaoachwa Ahmed athibitisha.
🔴 Breaking: Simba yawageukia Yanga na Azam, yafanya umafia walioufanya kwa Ngoma.Hakuna namna.!
Переглядів 24 тис.2 місяці тому
🔴 Breaking: Simba yawageukia Yanga na Azam, yafanya umafia walioufanya kwa Ngoma.Hakuna namna.!
🔴Ni maumivu Simba lakini hayana budi kutokea,Sita kutangulia kupewa mkono wa kwaheri bado watatu
Переглядів 12 тис.2 місяці тому
🔴Ni maumivu Simba lakini hayana budi kutokea,Sita kutangulia kupewa mkono wa kwaheri bado watatu
Simba yawakazia Chama na Hinonga,huyu akigomea ofa hii aondoke,huyu ni mzuri ila hatuna mpango naye.
Переглядів 5 тис.2 місяці тому
Simba yawakazia Chama na Hinonga,huyu akigomea ofa hii aondoke,huyu ni mzuri ila hatuna mpango naye.
Sababu za Benchikha kuiacha Simba Zaanikwa."Mwajiri anaamua"Kocha mpya 2024/2025 azungumzwa
Переглядів 6902 місяці тому
Sababu za Benchikha kuiacha Simba Zaanikwa."Mwajiri anaamua"Kocha mpya 2024/2025 azungumzwa
🔴Ishu ya Benchikha kuondoka Simba Yaanikwa,Mashabiki wamlilia,Msemaji Afunguka, Barbara njia nyeupe.
Переглядів 2752 місяці тому
🔴Ishu ya Benchikha kuondoka Simba Yaanikwa,Mashabiki wamlilia,Msemaji Afunguka, Barbara njia nyeupe.
🔴 Breaking: Kocha Benchikha awapa masharti mawili mazito uongozi wa Simba, watachagua moja
Переглядів 25 тис.2 місяці тому
🔴 Breaking: Kocha Benchikha awapa masharti mawili mazito uongozi wa Simba, watachagua moja
Kuelekea Derby, Mwekezaji Mo Dewji afungukua mazito,Kocha atema cheche,"hii sio ile iliyopita"
Переглядів 8 тис.3 місяці тому
Kuelekea Derby, Mwekezaji Mo Dewji afungukua mazito,Kocha atema cheche,"hii sio ile iliyopita"
🔴Sakata la wanaodaiwa kuomba kuondoka Simba laanikwa Ayoub,Manula na wengine watajwa.Semaji lamaliza
Переглядів 10 тис.3 місяці тому
🔴Sakata la wanaodaiwa kuomba kuondoka Simba laanikwa Ayoub,Manula na wengine watajwa.Semaji lamaliza
🔴Wakala wa Ngoma aipiga mkwara Simba,awatahadharisha juu ya Mchezaji wake..Benchikha ajiandaa.
Переглядів 5344 місяці тому
🔴Wakala wa Ngoma aipiga mkwara Simba,awatahadharisha juu ya Mchezaji wake..Benchikha ajiandaa.
🔴Simba yapania,Yatoa taarifa ya wachezaji wote akiwemo Onana na Kramo..sasa rasmi kushuka dimbani
Переглядів 7 тис.4 місяці тому
🔴Simba yapania,Yatoa taarifa ya wachezaji wote akiwemo Onana na Kramo..sasa rasmi kushuka dimbani
🔴Ishu ya Henock Inonga kuondoka Simba imekaa hivi,Muda utazungumza,Simba yacharuka Yafunguka mazito.
Переглядів 8675 місяців тому
🔴Ishu ya Henock Inonga kuondoka Simba imekaa hivi,Muda utazungumza,Simba yacharuka Yafunguka mazito.
🔴Mayele Afunguka mazito kwenye mahojiano,Azungumzia kurudi Tanzania lakini sio Yanga,"Fei anajua"
Переглядів 5 тис.5 місяців тому
🔴Mayele Afunguka mazito kwenye mahojiano,Azungumzia kurudi Tanzania lakini sio Yanga,"Fei anajua"
🔴Kocha Benchika na Chama waungana wawajia juu wachezaji wa Simba.
Переглядів 6975 місяців тому
🔴Kocha Benchika na Chama waungana wawajia juu wachezaji wa Simba.
Simba ina hatari,baada ya kaimarika akwepa mkono wa thank you mwingine bilion moja kumwondoa Simba.
Переглядів 1,8 тис.6 місяців тому
Simba ina hatari,baada ya kaimarika akwepa mkono wa thank you mwingine bilion moja kumwondoa Simba.
Benchikha Afunguka sajili mbili za Simba,Kurejea kwa Kramo na mechi yake Ya kwanza,1 kutemwa mapema.
Переглядів 2,6 тис.6 місяців тому
Benchikha Afunguka sajili mbili za Simba,Kurejea kwa Kramo na mechi yake Ya kwanza,1 kutemwa mapema.
🔴Benchika aweka wazi nyota wanaotua dirisha dogo Mataifa 6 yahusuka,tarehe ya utambulisho yaanikwa.
Переглядів 8 тис.6 місяців тому
🔴Benchika aweka wazi nyota wanaotua dirisha dogo Mataifa 6 yahusuka,tarehe ya utambulisho yaanikwa.

КОМЕНТАРІ

  • @SufuJuma
    @SufuJuma 10 днів тому

    Provoca kutoka mozmbigue tuna umiya Dana kwel azizi amefika yanga

  • @HawaUtegele
    @HawaUtegele 15 днів тому

    Welcome simba mukwal simb nguv moj

  • @MasimaSamson
    @MasimaSamson 18 днів тому

    azzki wamemusajiliu simba

  • @GeoffreyMbotwa
    @GeoffreyMbotwa 19 днів тому

    Welcome our brother

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 19 днів тому

    Karibu Sana simba... No 7 best club in Africa.. Hope you will do your do and enjoy ur stay.. No one fans in Africa simba supporters we welcome you Mr mukwala.. NGUVU MOJA

  • @yohanamabula7088
    @yohanamabula7088 21 день тому

    Ila tandi mwape kama mhamed waitala

  • @PeterMakoye-zs7sx
    @PeterMakoye-zs7sx 21 день тому

    Unyama wanasimbaaa

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 22 дні тому

    MO MAYELE ANAKUJA SIMBA? JAMANI MAYELE NI BORA SANA

  • @Tarakeamedia21
    @Tarakeamedia21 22 дні тому

    Hii ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MalumbaLucas
    @MalumbaLucas 26 днів тому

    Chama aondoke

  • @user-ky2hp9pk1p
    @user-ky2hp9pk1p 26 днів тому

    aende tu kaka

  • @nyamandabernad1484
    @nyamandabernad1484 28 днів тому

    Korean na jobe wapewe thank you

  • @eliakimmutasingwa9998
    @eliakimmutasingwa9998 Місяць тому

    Kimantiki na baada ya timu ya costi kufuzu kucheza Shirikisho si BUSARA kuwaachia wachezaji tegemeo walioiwezesha kufikia mafanikio hayo. Lawi na matampi wameisimamia timu ,iweje kuwaachia sasa ? Maelezo ya kwamba Simba nimeshindwa kukamilisha nimaelezo pa kutokea lakini ni makubaliano ya kiungwana baina ya timu husika.

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 Місяць тому

    Tajiri sema Sema... Utopolo mpaka wajinyonge wanakutukutukana eti huna hela 😂

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 Місяць тому

    Ahmed ally kathibitisha mchezaji kusaini na coastal wamethibitisha kupokea malipo.. Tatizo litakuwa linatoka kwa mdhamini wao GSM huyo msemaji WA coastal analishwa maneno ila hiyo ishaisha

  • @user-fi6hb3lp5y
    @user-fi6hb3lp5y Місяць тому

    Tunajua Nani anahusika kuchafua dili hii na waendelee tu lakini mwaka huu kitaeleweka akisusa yeye na mabosi wake wengine wanatamani

  • @Tarakeamedia21
    @Tarakeamedia21 Місяць тому

    Htr sana

  • @kombohamis2481
    @kombohamis2481 Місяць тому

    Simba wanapewa beki bonus bikaner wanachukua beki bora

  • @PilesMabula
    @PilesMabula Місяць тому

    Asante kamanda 🎉

  • @JumaKalovya
    @JumaKalovya Місяць тому

    nakubali

  • @BarakaThomas-mo3nq
    @BarakaThomas-mo3nq Місяць тому

    Vitendo Kwanza maneno badae

  • @christiandaud9547
    @christiandaud9547 Місяць тому

    Saf

  • @FloraYoronimo
    @FloraYoronimo Місяць тому

    NyAmbafu sajilinii tumechoka vyuraaaa tuna tsekaaa

  • @GraciousMbambwo
    @GraciousMbambwo Місяць тому

    Ni ukweli au ?????

  • @jamesmohamed4612
    @jamesmohamed4612 Місяць тому

    Wewe pamoja na kigwangala na mangungu wote wapumbavu nyie mmeweka kias gani binafsi kazi kuropoka tu nyie mnazani kuna mantiki gani Hadi Sasa hamjamaliza mchakato wa mabadiliko?

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 Місяць тому

    Nawaunga mkono hawa Wenyeviti wawili. Wasijiudhuru. Wao wafanyekazi kwa umoja na hawa Wajumbe waliobaki watafute wafadhili ili wachezaji wazuri wasajiliwe ktk muda mwafaka mwakani tusiaibike tena. Mwacheni MO akae pembeni na hela zake. Tafuteni Wawekezaji wengine wawili au watatu tuwape timu. MO timu siyo yake kwani transformation haijakamilika anaanza kuleta utapeli. Timu haiendeshwi kwa janjajanja. Fuateni mfumo uliopo. Mbunge Sanga aliyaona hayo na aliposema wapumbavu wakamshambulia. Sasa hizo sura zao wataziweka wapi kwa madudu haya ya MO.

  • @user-yw3lo2yv6e
    @user-yw3lo2yv6e Місяць тому

    We mwijKu ni choko

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 Місяць тому

    Wewe issa kunakitu unatafuta ila Simba itakutoa roho

  • @mmsfuzzsba3816
    @mmsfuzzsba3816 Місяць тому

    BEN JOSEPH MSENGEZI MBEYA HAO VIONGOZI WAONDOKE WAACHE MO AWEZE KUTULETEA TIMU BORA

  • @dottokona207
    @dottokona207 Місяць тому

    Bado uongozi ucpo badilika tabu utakua palepale

  • @Rukaiya-lt3hm
    @Rukaiya-lt3hm Місяць тому

    Chamaaaaaaa gooooooollll

  • @Rukaiya-lt3hm
    @Rukaiya-lt3hm Місяць тому

    Chama kama haitaki simba aseme tu sio kwa dau hilo

  • @bmmbashatv4917
    @bmmbashatv4917 Місяць тому

    🔥

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 Місяць тому

    Aondoke uyo chama anajipya msumbufu tu

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 Місяць тому

    Jamn chama asituumize kichwa aende zake uko

  • @SalumKhamis-qu6si
    @SalumKhamis-qu6si Місяць тому

    vp kuhusu malon

  • @samsonpopat1474
    @samsonpopat1474 Місяць тому

    Inonga hagao

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 Місяць тому

    Million 59? Kwanza hajawahi kifunga Yanga mwambieni aendeee

  • @frankmakere
    @frankmakere Місяць тому

    🙌🙌

  • @CharlesJohn-bi6qg
    @CharlesJohn-bi6qg Місяць тому

    Kwani chama Nina haswa?

  • @FelisterRobert-hc3xw
    @FelisterRobert-hc3xw Місяць тому

    Aondoke tu

  • @chrizostomchristian1884
    @chrizostomchristian1884 Місяць тому

    Simba wanatumia ela yetu vibaya mara nickson alipwe pesa zote hizo na bado hachez,Mara waende pre season uturuki pesa nyingi matokeo kidgo,Sasa Chama amebakiza kitu gn cha zaid ya mln 10?

  • @Ali.salimu
    @Ali.salimu Місяць тому

    😂😂😂 Acheni. Nichekeetu. Maana. Huyu. Semaji. Hunifrahisha. Saana.

  • @Tarakeamedia21
    @Tarakeamedia21 Місяць тому

    Chama 🔥🙄🙄

  • @yohanamabula7088
    @yohanamabula7088 Місяць тому

    Chama wamuache ataingiza kirus simba anamchango wa kawainda sana kwa sasa yeye kila mwaka mgongoro

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 Місяць тому

    Chama mjinga kweli. Yaani yeye umri unaposonga ndipo anaongeza dau badala ya kupunguza? Mwacheni asepe chama wa juzi siyo wa leo. Kama wengine wanamwona mali wamchukue.

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u Місяць тому

    Chama aende zake atumtaki huyo ndio hanaalibu Simba na wachezaji wasimba fukuzaaa kabisaaaa

  • @AbdulkareemMtinge
    @AbdulkareemMtinge Місяць тому

    Wasepe 2 jenge Tim mpy Tim kubwa kuliko mchezaj wasituzngue bhn

  • @AbdalaJuma-pc1tf
    @AbdalaJuma-pc1tf Місяць тому

    Mimi naitwa abdalah juma kutoka ununio chama mangungu na huyo mwenzake waondoke

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 Місяць тому

    Anakichaa nani ampe 50m kwa kipi anachofanya asepe chap chap. Kama Yanga wanaweza mpatia hizo 50m aende zake. Msimpe tena hata nusu yake asipewe.